Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Basi kabila zote waliojitenga, pamoja na kabila ya Naftali, baba yangu, walimtolea kafara yule Baali, mtamba wa ng'ombe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ndugu zangu wote na ukoo wa Naftali walitambikia juu ya kila kilima kwa ile sanamu ya ndama aliyoifanya Yeroboamu mfalme wa Israeli huko Dani katika mkoa wa Galilaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ndugu zangu wote na ukoo wa Naftali walitambikia juu ya kila kilima kwa ile sanamu ya ndama aliyoifanya Yeroboamu mfalme wa Israeli huko Dani katika mkoa wa Galilaya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Basi kabila zote waliojitenga, pamoja na kabila la Naftali, baba yangu, walimtolea kafara yule Baali, mtamba wa ng'ombe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Ndugu zangu wote na ukoo wa Naftali walitambikia juu ya kila kilima kwa ile sanamu ya ndama aliyoifanya Yeroboamu mfalme wa Israeli huko Dani katika mkoa wa Galilaya. Tazama sura |