Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 1:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Nami nilipokuwa nikikaa kwetu; katika nchi ya Israeli, nikiwa ningali kijana bado, kabila nzima ya Naftali, baba yangu, walijitenga na nyumba ya Yerusalemu; ambayo kwamba palichaguliwa katika kabila zote za Israeli, ili makusudi kabila zote watoe kafara huko; hata na hekalu la makao yake Aliye Juu likawekwa wakfu na kujengwa huko, kwa ajili ya vizazi vyote vya milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Nilipokuwa kijana nikiwa bado nyumbani nchini Israeli, makabila yote katika Israeli yaliwajibika kwenda kutoa sadaka Yerusalemu. Yerusalemu ulikuwa ndio mji pekee ambao Mungu alikuwa ameuteua miongoni mwa miji yote ya Israeli uwe mahali pa kutolea tambiko zao; huko ndiko kulikojengwa hekalu ambalo ni makao yake matakatifu na ya kudumu. Lakini kabila langu lote la Naftali lilijitenga na mji wa Yerusalemu na ukoo wa Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

BIBLIA KISWAHILI

4 Nami nilipokuwa nikikaa kwetu; katika nchi ya Israeli, nikiwa ningali kijana bado, kabila zima la Naftali, baba yangu, walijitenga na nyumba ya Yerusalemu; ambayo kwamba palichaguliwa katika kabila zote za Israeli, ili kusudi kabila zote zitoe kafara huko; hata na hekalu la makao yake Aliye Juu likawekwa wakfu na kujengwa huko, kwa ajili ya vizazi vyote vya milele.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

4 Nilipokuwa kijana nikiwa bado nyumbani nchini Israeli, makabila yote katika Israeli yaliwajibika kwenda kutoa sadaka Yerusalemu. Yerusalemu ulikuwa ndio mji pekee ambao Mungu alikuwa ameuteua miongoni mwa miji yote ya Israeli uwe mahali pa kutolea tambiko zao; huko ndiko kulikojengwa hekalu ambalo ni makao yake matakatifu na ya kudumu. Lakini kabila langu lote la Naftali lilijitenga na mji wa Yerusalemu na ukoo wa Daudi.

Tazama sura Nakili

Tobiti 1:4
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo