Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Mimi, Tobiti, nimekwenda katika njia za kweli na haki siku zote za maisha yangu. Nikawakirimia ndugu zangu sadaka nyingi, pia na watu wa taifa langu waliokuja pamoja nami katika nchi ya Waashuri mpaka Ninawi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mimi Tobiti nimefuata njia za haki na kutenda mema maisha yangu yote. Mara nyingi niliwasaidia jamaa na Wayahudi wenzangu maskini waliohamishiwa pamoja nami huko Ninewi, nchini Ashuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mimi Tobiti nimefuata njia za haki na kutenda mema maisha yangu yote. Mara nyingi niliwasaidia jamaa na Wayahudi wenzangu maskini waliohamishiwa pamoja nami huko Ninewi, nchini Ashuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Mimi, Tobiti, nimekwenda katika njia za kweli na haki siku zote za maisha yangu. Nikawakirimia ndugu zangu sadaka nyingi, pia na watu wa taifa langu waliokuja pamoja nami katika nchi ya Waashuri mpaka Ninawi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Mimi Tobiti nimefuata njia za haki na kutenda mema maisha yangu yote. Mara nyingi niliwasaidia jamaa na Wayahudi wenzangu maskini waliohamishiwa pamoja nami huko Ninewi, nchini Ashuru. Tazama sura |