Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Hivyo Akiakaro akaniombea, nikarudi tena mpaka Ninawi. Mradi huyu Akiakaro alikuwa mnyweshaji, na mlindamhuri, na wakili, na msimamizi wa hesabu; naye Esar-hadoni akamweka kuwa wa pili wake. Naye alikuwa mwana wa ndugu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Basi, Ahika alinitetea, nikaruhusiwa kurudi Ninewi. Hii ilikuwa mara ya pili Ahika kuwa na cheo hicho, maana alikwisha kuwa mhudumu mkuu wa divai, waziri wa fedha, mhasibu na mwangalizi wa mhuri wa ofisi chini ya mfalme Senakeribu, naye Esar-hadoni akamthibitisha katika madaraka hayo. Ahika alikuwa binamu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Basi, Ahika alinitetea, nikaruhusiwa kurudi Ninewi. Hii ilikuwa mara ya pili Ahika kuwa na cheo hicho, maana alikwisha kuwa mhudumu mkuu wa divai, waziri wa fedha, mhasibu na mwangalizi wa mhuri wa ofisi chini ya mfalme Senakeribu, naye Esar-hadoni akamthibitisha katika madaraka hayo. Ahika alikuwa binamu yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Hivyo Akiakaro akaniombea, nikarudi tena mpaka Ninawi. Mradi huyu Akiakaro alikuwa mnyweshaji, na mlindamhuri, na wakili, na msimamizi wa hesabu; naye Esar-hadoni akamweka kuwa wa pili wake. Naye alikuwa mwana wa ndugu yangu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA22 Basi, Ahika alinitetea, nikaruhusiwa kurudi Ninewi. Hii ilikuwa mara ya pili Ahika kuwa na cheo hicho, maana alikwisha kuwa mhudumu mkuu wa divai, waziri wa fedha, mhasibu na mwangalizi wa mhuri wa ofisi chini ya mfalme Senakeribu, naye Esar-hadoni akamthibitisha katika madaraka hayo. Ahika alikuwa binamu yangu. Tazama sura |