Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Kumbe! Hazijapita siku hamsini na tano hata wanawe wawili walimwua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Naye Esar-hadoni mwanawe akatawala mahali pake; akaweka Akiakaro, mwana wa ndugu yangu Anaeli, juu ya takwimu zote za ufalme wake, na juu ya mambo yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Ilipokuwa bado hata hazijapita siku hamsini wana wawili wa Senakeribu walimuua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Esar-hadoni, mwana mwingine wa Senakeribu, akawa mfalme; akamteua Ahika, mwana wa ndugu yangu Anaeli, awe waziri wa fedha na mratibu wa mambo yote ya utawala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Ilipokuwa bado hata hazijapita siku hamsini wana wawili wa Senakeribu walimuua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Esar-hadoni, mwana mwingine wa Senakeribu, akawa mfalme; akamteua Ahika, mwana wa ndugu yangu Anaeli, awe waziri wa fedha na mratibu wa mambo yote ya utawala. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Kumbe! Hazijapita siku hamsini na tano hata wanawe wawili walimwua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Naye Esar-hadoni mwanawe akatawala mahali pake; akaweka Akiakaro, mwana wa ndugu yangu Anaeli, juu ya takwimu zote za ufalme wake, na juu ya mambo yake yote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA21 Ilipokuwa bado hata hazijapita siku hamsini wana wawili wa Senakeribu walimuua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Esar-hadoni, mwana mwingine wa Senakeribu, akawa mfalme; akamteua Ahika, mwana wa ndugu yangu Anaeli, awe waziri wa fedha na mratibu wa mambo yote ya utawala. Tazama sura |