Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Ndipo mali zangu zote zilipotwaliwa, wala sikubakizwa na kitu ila mke wangu Ana, na mwanangu Tobia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mali yangu yote ikataifishwa na kuwekwa katika hazina ya mfalme. Nilibakiwa tu na mke wangu Ana na mwanangu Tobia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mali yangu yote ikataifishwa na kuwekwa katika hazina ya mfalme. Nilibakiwa tu na mke wangu Ana na mwanangu Tobia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Ndipo mali zangu zote zilipotwaliwa, wala sikubakizwa na kitu ila mke wangu Ana, na mwanangu Tobia. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA20 Mali yangu yote ikataifishwa na kuwekwa katika hazina ya mfalme. Nilibakiwa tu na mke wangu Ana na mwanangu Tobia. Tazama sura |