Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Zamani za Shalmanesa, mfalme wa Waashuri, huyu alichukuliwa mateka kutoka Tisbe, ulioko upande wa kulia wa Kedesh-Naftali katika Galilaya, upande wa juu wa Asheri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wakati Shalmanesa alipokuwa mfalme wa Ashuru, Tobiti alichukuliwa uhamishoni kutoka mji wa Thisbe ulioko kusini mwa Kadeshi huko Naftali kaskazini mwa Galilaya, magharibi-kaskazini mwa mji wa Hazori na kaskazini mwa Shefati. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wakati Shalmanesa alipokuwa mfalme wa Ashuru, Tobiti alichukuliwa uhamishoni kutoka mji wa Thisbe ulioko kusini mwa Kadeshi huko Naftali kaskazini mwa Galilaya, magharibi-kaskazini mwa mji wa Hazori na kaskazini mwa Shefati. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Zamani za Shalmanesa, mfalme wa Waashuri, huyu alichukuliwa mateka kutoka Tisbe, ulioko upande wa kulia wa Kedesh-Naftali katika Galilaya, upande wa juu wa Asheri. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 Wakati Shalmanesa alipokuwa mfalme wa Ashuru, Tobiti alichukuliwa uhamishoni kutoka mji wa Thisbe ulioko kusini mwa Kadeshi huko Naftali kaskazini mwa Galilaya, magharibi-kaskazini mwa mji wa Hazori na kaskazini mwa Shefati. Tazama sura |