Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Lakini mmojawapo wa Waninawi akaenda akanishtaki kwa mfalme, ya kwamba mimi nimewazika na kujificha; basi nilipotambua ya kuwa nilitafutwa ili niuawe nilijitenga kwa hofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Halafu mtu mmoja wa Ninewi alimwarifu mfalme kwamba mimi ndiye niliyekuwa nikiwazika Waisraeli waliouawa. Nilipogundua kuwa mfalme alipata kujua habari zangu zote, na nilipoona mimi mwenyewe watu wakinitafuta kuniua niliingiwa na hofu na kutoroka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Halafu mtu mmoja wa Ninewi alimwarifu mfalme kwamba mimi ndiye niliyekuwa nikiwazika Waisraeli waliouawa. Nilipogundua kuwa mfalme alipata kujua habari zangu zote, na nilipoona mimi mwenyewe watu wakinitafuta kuniua niliingiwa na hofu na kutoroka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Lakini mmojawapo wa Waninawi akaenda akanishtaki kwa mfalme, ya kwamba mimi nimewazika na kujificha; basi nilipotambua ya kuwa nilitafutwa ili niuawe nilijitenga kwa hofu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA19 Halafu mtu mmoja wa Ninewi alimwarifu mfalme kwamba mimi ndiye niliyekuwa nikiwazika Waisraeli waliouawa. Nilipogundua kuwa mfalme alipata kujua habari zangu zote, na nilipoona mimi mwenyewe watu wakinitafuta kuniua niliingiwa na hofu na kutoroka. Tazama sura |