Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Vile vile iwapo Mfalme Senakeribu ameua watu, pale alipokuja amekimbia kutoka Yudea, niliwazika kwa siri; maana katika ghadhabu yake aliwaua wengi; lakini maiti zao hazikuonekana zilipotafutwa kwa amri ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mfalme Senakeribu alipomuua mtu yeyote aliyekimbilia nchini mwake kutoka Yudea, mimi nilimzika kwa siri. Mfalme aliwaua watu wengi kutuliza hasira yake. Baadaye alipozitafuta maiti hizo hakuzipata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mfalme Senakeribu alipomuua mtu yeyote aliyekimbilia nchini mwake kutoka Yudea, mimi nilimzika kwa siri. Mfalme aliwaua watu wengi kutuliza hasira yake. Baadaye alipozitafuta maiti hizo hakuzipata. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Vile vile iwapo Mfalme Senakeribu ameua watu, pale alipokuja amekimbia kutoka Yudea, niliwazika kwa siri; maana katika ghadhabu yake aliwaua wengi; lakini maiti zao hazikuonekana zilipotafutwa kwa amri ya mfalme. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA18 Mfalme Senakeribu alipomuua mtu yeyote aliyekimbilia nchini mwake kutoka Yudea, mimi nilimzika kwa siri. Mfalme aliwaua watu wengi kutuliza hasira yake. Baadaye alipozitafuta maiti hizo hakuzipata. Tazama sura |