Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 nikawapa wenye njaa chakula; nikawapa walio uchi nguo zangu; hata nikimwona mtu yeyote wa taifa letu amekufa na kutupwa kwenye kuta za Ninawi, nikamzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Wenye njaa, niliwapatia chakula changu na kuwapa nguo wale waliotindikiwa nazo. Kila nilipokuta maiti ya mmoja wa watu wangu ametupwa nje ya ukuta wa mji, nilimwokota na kumzika kwa heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Wenye njaa, niliwapatia chakula changu na kuwapa nguo wale waliotindikiwa nazo. Kila nilipokuta maiti ya mmoja wa watu wangu ametupwa nje ya ukuta wa mji, nilimwokota na kumzika kwa heshima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 nikawapa wenye njaa chakula; nikawapa walio uchi nguo zangu; hata nikimwona mtu yeyote wa taifa letu amekufa na kutupwa kwenye kuta za Ninawi, nikamzika. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 Wenye njaa, niliwapatia chakula changu na kuwapa nguo wale waliotindikiwa nazo. Kila nilipokuta maiti ya mmoja wa watu wangu ametupwa nje ya ukuta wa mji, nilimwokota na kumzika kwa heshima. Tazama sura |