Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Zamani za Shalamanesa nilitoa sadaka nyingi, nikawakirimia ndugu zangu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Shalmanesa alipokuwa bado anatawala, niliwasaidia sana Wayahudi wenzangu maskini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Shalmanesa alipokuwa bado anatawala, niliwasaidia sana Wayahudi wenzangu maskini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Zamani za Shalamanesa nilitoa sadaka nyingi, nikawakirimia ndugu zangu; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Shalmanesa alipokuwa bado anatawala, niliwasaidia sana Wayahudi wenzangu maskini. Tazama sura |