Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hata ikawa, Shalmanesa alipokufa, mtoto wake Senakeribu alitawala mahali pake; ambaye wakati wake barabara zilichafuka, hata nisiweze kwenda tena mpaka Umedi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Shalmanesa alipofariki, Senakeribu, mwanawe, alitawala mahali pake. Mara yakazuka majambazi huko na huko katika barabara za Media, nami nikashindwa kwenda tena Media. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Shalmanesa alipofariki, Senakeribu, mwanawe, alitawala mahali pake. Mara yakazuka majambazi huko na huko katika barabara za Media, nami nikashindwa kwenda tena Media. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Hata ikawa, Shalmanesa alipokufa, mtoto wake Senakeribu alitawala mahali pake; ambaye wakati wake barabara zilichafuka, hata nisiweze kwenda tena mpaka Umedi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Shalmanesa alipofariki, Senakeribu, mwanawe, alitawala mahali pake. Mara yakazuka majambazi huko na huko katika barabara za Media, nami nikashindwa kwenda tena Media. Tazama sura |