Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Hivyo nikaenda mpaka Umedi, nikaweka amana kwake Gabaeli mwana wa Gabria talanta kumi za fedha, huko Rage, mji wa Umedi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kabla mfalme huyo hajafariki, nilikwenda mara nyingi nchini Media kumnunulia vitu. Siku moja, nilipokuwa mjini Rage huko Media, nilimwachia Gabaeli, nduguye Gabria, fedha mifuko kadhaa, nikamwomba anitunzie. Ndani ya mifuko hiyo mlikuwa na sarafu za shaba zaidi ya kilo 300. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kabla mfalme huyo hajafariki, nilikwenda mara nyingi nchini Media kumnunulia vitu. Siku moja, nilipokuwa mjini Rage huko Media, nilimwachia Gabaeli, nduguye Gabria, fedha mifuko kadhaa, nikamwomba anitunzie. Ndani ya mifuko hiyo mlikuwa na sarafu za shaba zaidi ya kilo 300. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Hivyo nikaenda mpaka Umedi, nikaweka amana kwake Gabaeli mwana wa Gabria talanta kumi za fedha, huko Rage, mji wa Umedi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Kabla mfalme huyo hajafariki, nilikwenda mara nyingi nchini Media kumnunulia vitu. Siku moja, nilipokuwa mjini Rage huko Media, nilimwachia Gabaeli, nduguye Gabria, fedha mifuko kadhaa, nikamwomba anitunzie. Ndani ya mifuko hiyo mlikuwa na sarafu za shaba zaidi ya kilo 300. Tazama sura |