Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Naye Aliye Juu akanijalia kuwa na neema na kibali machoni pa Shalmanesa, hata nikawa mnunuachakula wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mungu alimfanya mfalme Shalmanesa anipendelee na kunijali, hata nikapewa madaraka ya kumnunulia mfalme chakula chake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mungu alimfanya mfalme Shalmanesa anipendelee na kunijali, hata nikapewa madaraka ya kumnunulia mfalme chakula chake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Naye Aliye Juu akanijalia kuwa na neema na kibali machoni pa Shalmanesa, hata nikawa mnunuachakula wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Mungu alimfanya mfalme Shalmanesa anipendelee na kunijali, hata nikapewa madaraka ya kumnunulia mfalme chakula chake. Tazama sura |