Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nasi tulipochukuliwa mateka mpaka Ninawi, ndugu zangu wote nao wale waliokuwa wa jamaa yangu walikuwa wakila chakula cha mataifa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Baadaye nilichukuliwa mateka na kupelekwa Ninewi. Tulipokuwa tunakaa Ninewi jamaa zangu na Wayahudi wenzangu wote walikuwa wakila chakula walichokula wale watu wasio Wayahudi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Baadaye nilichukuliwa mateka na kupelekwa Ninewi. Tulipokuwa tunakaa Ninewi jamaa zangu na Wayahudi wenzangu wote walikuwa wakila chakula walichokula wale watu wasio Wayahudi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Nasi tulipochukuliwa mateka mpaka Ninawi, ndugu zangu wote nao wale waliokuwa wa jamaa yangu walikuwa wakila chakula cha mataifa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Baadaye nilichukuliwa mateka na kupelekwa Ninewi. Tulipokuwa tunakaa Ninewi jamaa zangu na Wayahudi wenzangu wote walikuwa wakila chakula walichokula wale watu wasio Wayahudi, Tazama sura |