Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Kitabu cha habari za Tobiti, mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa uzao wa Asieli, wa kabila ya Naftali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kitabu cha habari za Tobiti, mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa uzao wa Asieli, wa kabila la Naftali. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. Tazama sura |