Tito 3:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 wasimtukane mtu yeyote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakiwa wapole sana kwa watu wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi bali wawe wema, wakiwa wapole kwa watu wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi, bali wawe wapole, wakionyesha unyenyekevu kwa watu wote. Tazama sura |