Sefania 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Maana toka nchi iliyo mbali na mito ya Kushi, waniombao dua, yaani, binti za watu wangu waliotawanyika, wataleta matoleo yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kutoka ng'ambo ya mito ya Kushi watu wangu wanaoniomba ambao wametawanyika, wataniletea sadaka yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kutoka ng'ambo ya mito ya Kushi watu wangu wanaoniomba ambao wametawanyika, wataniletea sadaka yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kutoka ng'ambo ya mito ya Kushi watu wangu wanaoniomba ambao wametawanyika, wataniletea sadaka yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kutoka ng’ambo ya mito ya Kushi watu wangu wanaoniabudu, watu wangu waliotawanyika, wataniletea sadaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kutoka ng’ambo ya mito ya Kushi watu wangu wanaoniabudu, watu wangu waliotawanyika, wataniletea sadaka. Tazama sura |