Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Sefania 2:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Na hiyo nchi ya pwani itakuwa malisho, yenye vibanda vya wachungaji, na mazizi ya makundi ya kondoo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Nanyi nchi za pwani mtafanywa kuwa malisho; mtakuwa vibanda vya wachungaji na mazizi ya kondoo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Nanyi nchi za pwani mtafanywa kuwa malisho; mtakuwa vibanda vya wachungaji na mazizi ya kondoo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Nanyi nchi za pwani mtafanywa kuwa malisho; mtakuwa vibanda vya wachungaji na mazizi ya kondoo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Nchi iliyo karibu na bahari itakuwa malisho yenye visima vya wachungaji, na mazizi ya kondoo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Nchi kando ya bahari, mahali ambapo wanaishi Wakerethi, patakuwa mahali pa wachungaji na mazizi ya kondoo.

Tazama sura Nakili




Sefania 2:6
6 Marejeleo ya Msalaba  

Miji ya Aroeri imeachwa; itakuwa mahali pa makundi ya kondoo, nao watajilaza huko wala hapana atakayewatia hofu.


Ndipo wana-kondoo watakapojilisha kama walio katika malisho yao wenyewe, na mahali pao walionenepa, palipoachwa ukiwa, wageni watakula.


Na vilima vyote vilivyolimwa kwa jembe, hutafika huko kwa sababu ya kuiogopa mbigili na miiba, lakini hapo patakuwa mahali pa kupeleka ng'ombe, mahali pa kukanyagwa na kondoo.


BWANA wa majeshi asema hivi, Katika mahali hapa, palipo ukiwa, hapana mwanadamu wala mnyama, na katika miji yake yote, yatakuwapo makao ya wachungaji wakiwalaza kondoo wao.


Nami nitafanya Raba kuwa banda la ngamia, na wana wa Amoni kuwa mahali pa kulaza makundi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo