Sefania 1:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Katika siku ya dhabihu ya Mwenyezi Mungu nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Katika siku ya dhabihu ya bwana nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni. Tazama sura |