Ruthu 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi Boazi akamtwaa Ruthu, naye akawa mke wake; naye akaingia kwake, na BWANA akamjalia kuchukua mimba, naye akazaa mtoto wa kiume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kwa hiyo, Boazi akamchukua Ruthu akawa mke wake. Mwenyezi-Mungu alimjalia Ruthu naye akachukua mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kwa hiyo, Boazi akamchukua Ruthu akawa mke wake. Mwenyezi-Mungu alimjalia Ruthu naye akachukua mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kwa hiyo, Boazi akamchukua Ruthu akawa mke wake. Mwenyezi-Mungu alimjalia Ruthu naye akachukua mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Basi Boazi akamtwaa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, Mwenyezi Mungu akamjalia Ruthu, naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Basi Boazi akamwoa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, bwana akamjalia Ruthu, naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume. Tazama sura |