Ruthu 2:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 BWANA akujaze kwa kazi yako, nawe upewe thawabu kamili na BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye umekuja kukimbilia chini ya mabawa yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mwenyezi-Mungu akujaze kwa yote uliyoyafanya. Mwenyezi-Mungu wa Israeli uliyemkimbilia akulinde chini ya mabawa yake, akupe thawabu kamilifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mwenyezi-Mungu akujaze kwa yote uliyoyafanya. Mwenyezi-Mungu wa Israeli uliyemkimbilia akulinde chini ya mabawa yake, akupe thawabu kamilifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mwenyezi-Mungu akujaze kwa yote uliyoyafanya. Mwenyezi-Mungu wa Israeli uliyemkimbilia akulinde chini ya mabawa yake, akupe thawabu kamilifu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.” Tazama sura |