Ruthu 1:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Basi alipomwona kuwa amekata shauri kufuatana naye, aliacha kumshawishi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Naomi alipoona kuwa Ruthu ameamua kwenda pamoja naye, aliacha kumshawishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Naomi alipoona kuwa Ruthu ameamua kwenda pamoja naye, aliacha kumshawishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Naomi alipoona kuwa Ruthu ameamua kwenda pamoja naye, aliacha kumshawishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Naomi alipotambua kwamba Ruthu amenuia kufuatana naye, hakuendelea kumsihi tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Naomi alipotambua kwamba Ruthu amenuia kufuatana naye, hakuendelea kumsihi tena. Tazama sura |