Obadia 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Bali katika mlima Sayuni kutakuwa na watakaookoka, nao utakuwa mtakatifu; na nyumba ya Yakobo watamiliki tena milki zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 “Lakini mlimani Siyoni watakuwapo wale waliosalimika nao utakuwa mlima mtakatifu. Wazawa wa Yakobo wataimiliki tena nchi iliyokuwa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 “Lakini mlimani Siyoni watakuwapo wale waliosalimika nao utakuwa mlima mtakatifu. Wazawa wa Yakobo wataimiliki tena nchi iliyokuwa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 “Lakini mlimani Siyoni watakuwapo wale waliosalimika nao utakuwa mlima mtakatifu. Wazawa wa Yakobo wataimiliki tena nchi iliyokuwa yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwa na wale watakaookoka; nao utakuwa mtakatifu, nayo nyumba ya Yakobo itamiliki urithi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwepo na wale watakaookoka; nao utakuwa mtakatifu, nayo nyumba ya Yakobo itamiliki urithi wake. Tazama sura |