Nehemia 9:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Wewe ndiwe BWANA, Mungu, uliyemchagua Abramu, na kumtoa katika Uri wa Wakaldayo, na kumpa jina la Abrahamu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu uliyemchagua Abramu, ukamtoa toka Uri ya Wakaldayo na kumpa jina Abrahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu uliyemchagua Abramu, ukamtoa toka Uri ya Wakaldayo na kumpa jina Abrahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu uliyemchagua Abramu, ukamtoa toka Uri ya Wakaldayo na kumpa jina Abrahamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Wewe ni Bwana Mwenyezi Mungu uliyemchagua Abramu na kumtoa kutoka Uru ya Wakaldayo, nawe ukamwita Ibrahimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Wewe ni bwana Mwenyezi Mungu uliyemchagua Abramu na kumtoa kutoka Uru ya Wakaldayo, nawe ukamwita Ibrahimu. Tazama sura |