Nehemia 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nao wakasoma katika kitabu, katika Torati ya Mungu, kwa sauti ya kusikika; wakaeleza maana yake, hata wakayafahamu yaliyosomwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wakasoma vizuri toka kitabu cha sheria ya Mungu na kuifafanua na watu wote waliweza kuielewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wakasoma vizuri toka kitabu cha sheria ya Mungu na kuifafanua na watu wote waliweza kuielewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wakasoma vizuri toka kitabu cha sheria ya Mungu na kuifafanua na watu wote waliweza kuielewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Walisoma kutoka kile Kitabu cha Torati ya Mungu, wakiifafanua na kuwapa maelezo ili watu waweze kufahamu kile kilichokuwa kikisomwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Walisoma kutoka kile Kitabu cha Torati ya Mungu, wakiifafanua na kuwapa maelezo ili watu waweze kufahamu kile kilichokuwa kikisomwa. Tazama sura |