Nehemia 8:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Hivyo Walawi wakawatuliza watu wote, wakasema, Nyamazeni, kwa maana siku hii ni takatifu; wala msihuzunike. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Hivyo, Walawi wakawatuliza watu wote, wakisema, “Tulieni kwani siku ya leo ni takatifu; msihuzunike.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Hivyo, Walawi wakawatuliza watu wote, wakisema, “Tulieni kwani siku ya leo ni takatifu; msihuzunike.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Hivyo, Walawi wakawatuliza watu wote, wakisema, “Tulieni kwani siku ya leo ni takatifu; msihuzunike.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Walawi wakawatuliza watu wote wakisema, “Kuweni watulivu, kwa kuwa hii ni siku takatifu. Msihuzunike.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Walawi wakawatuliza watu wote wakisema, “Kuweni watulivu, kwa kuwa hii ni siku takatifu. Msihuzunike.” Tazama sura |