Nehemia 7:62 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC62 Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arubaini na wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema62 wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND62 wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza62 wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: watu 642. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu62 wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda, mia sita arobaini na wawili (642). Tazama sura |