Nehemia 6:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumishi wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe ule ule, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe wa aina ile ile, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa, Tazama sura |