Nehemia 3:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Na baada yake wakafanyiza makuhani, watu wa Uwandani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Baada yake, ukarabati ulifanywa na makuhani waliotoka eneo lililouzunguka mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Baada yake, ukarabati ulifanywa na makuhani waliotoka eneo lililouzunguka mji. Tazama sura |