Nehemia 11:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Wana wa Benyamini nao walikuwa wakikaa Geba, na Mikmashi, na Aiya, na Betheli na vijiji vyake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Watu wa kabila la Benyamini walikaa Geba, Mikmashi, Ai, Betheli na vijiji vinavyoizunguka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Watu wa kabila la Benyamini walikaa Geba, Mikmashi, Ai, Betheli na vijiji vinavyoizunguka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Watu wa kabila la Benyamini walikaa Geba, Mikmashi, Ai, Betheli na vijiji vinavyoizunguka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake, Tazama sura |