Nehemia 11:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 na ndugu zake, wakuu wa mbari za mababa, watu mia mbili arubaini na wawili; na Maasai, mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 pia kulikuwa ndugu zake waliokuwa wakuu wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu 242. Pia walikuwako Amaasai, mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 pia kulikuwa ndugu zake waliokuwa wakuu wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu 242. Pia walikuwako Amaasai, mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 pia kulikuwa ndugu zake waliokuwa wakuu wa jamaa za baba zao; wote pamoja walikuwa watu 242. Pia walikuwako Amaasai, mwana wa Azareli, mwana wa Ahzai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 na wenzao, waliokuwa viongozi wa jamaa: wanaume mia mbili arobaini na wawili (242). Amashisai mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 na wenzao, waliokuwa viongozi wa jamaa: watu 242. Amashisai mwana wa Azareli, mwana wa Azai, mwana wa Meshilemothi, mwana wa Imeri, Tazama sura |