Nehemia 10:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 wala tusiwaoze watu wa nchi binti zetu, wala kuwatwalia wana wetu binti zao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 “Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 “Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao. Tazama sura |