Nehemia 1:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nakuomba, likumbuke neno lile ulilomwamuru Musa, mtumishi wako, ukisema, Mkikosa, nitawatawanya kati ya mataifa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Kumbuka agizo ulilompa Musa mtumishi wako, ukisema, ‘Mkikosa uaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Kumbuka agizo ulilompa Musa mtumishi wako, ukisema, ‘Kama mkikosa uaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa, Tazama sura |