Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Nahumu 3:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Tazama, watu wako walio ndani yako ni wanawake; malango ya nchi yako yamekuwa wazi kabisa mbele ya adui zako; moto umeteketeza mapingo yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Tazama askari wako: Wao ni waoga kama wanawake. Milango ya nchi yako ni wazi mbele ya adui zako; moto umeyateketeza kabisa makomeo yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Tazama askari wako: Wao ni waoga kama wanawake. Milango ya nchi yako ni wazi mbele ya adui zako; moto umeyateketeza kabisa makomeo yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Tazama askari wako: wao ni waoga kama wanawake. Milango ya nchi yako ni wazi mbele ya adui zako; moto umeyateketeza kabisa makomeo yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Tazama vikosi vyako: wote ni wanawake! Malango ya nchi yako yamekuwa wazi kwa adui zako; moto umeteketeza mapingo yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Tazama vikosi vyako: wote ni wanawake! Malango ya nchi yako yamekuwa wazi kwa adui zako; moto umeteketeza mapingo yake.

Tazama sura Nakili




Nahumu 3:13
11 Marejeleo ya Msalaba  

Maana ameivunja milango ya shaba, Ameyakata mapingo ya chuma.


Maana amevikaza vipingo vya malango yako, Amewabariki wanao ndani yako.


Katika siku hiyo Misri itakuwa kama wanawake; itatetemeka na kuogopa kwa sababu ya kutikiswa kwa mkono wa BWANA wa majeshi, autikisao juu yake.


Upanga uko juu ya hao wajisifuo, nao watapumbazika; upanga uko juu ya mashujaa wake, nao watafadhaika.


Upanga uko juu ya farasi wao, na juu ya magari yao ya vita; na juu ya watu wote waliochanganyika ndani yake, nao watakuwa kama wanawake; upanga u juu ya hazina zake, nazo zitaibwa.


Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana; Wanakaa katika ngome zao; Ushujaa wao umewapungukia; Wamekuwa kama wanawake; Makao yake yameteketea; Makomeo yake yamevunjika.


Na mashujaa wako, Ee Temani, watafadhaika, hata iwe kila mtu akatiliwe mbali kwa kuuawa katika kilima cha Esau.


Malango ya mito yamefunguka, na jumba la mfalme limeyeyushwa.


Husabu naye amefunuliwa, anachukuliwa, na wajakazi wake wanalia kama kwa sauti ya hua, wakipigapiga vifua vyao.


Huko moto utakuteketeza; Upanga utakukatilia mbali; Utakumeza kama tunutu alavyo; Jifanye kuwa wengi kama tunutu! Jifanye kuwa wengi kama nzige!


Tufuate:

Matangazo


Matangazo