Nahumu 3:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ole wako mji wa mauaji! Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele, usiokoma kamwe kuteka nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ole wako mji wa mauaji! Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele, usiokoma kamwe kuteka nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ole wako mji wa mauaji! Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele, usiokoma kamwe kuteka nyara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ole wa mji unaomwaga damu, uliojaa uongo, uliojaa nyara, na usiokosa mateka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ole wa mji umwagao damu, uliojaa uongo, umejaa nyara, usiokosa kuwa na vitu vya kuteka nyara. Tazama sura |