Nahumu 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 BWANA ni Mungu mwenye wivu, naye hujilipiza kisasi; BWANA hujilipiza kisasi, naye ni mwingi wa hasira; BWANA hujilipiza kisasi juu ya adui zake, huwawekea adui zake akiba ya hasira. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye wivu, mlipiza kisasi; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi na ni mwenye ghadhabu; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi kwa adui zake, huwaka ghadhabu juu ya adui zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye wivu, mlipiza kisasi; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi na ni mwenye ghadhabu; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi kwa adui zake, huwaka ghadhabu juu ya adui zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye wivu, mlipiza kisasi; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi na ni mwenye ghadhabu; Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi kwa adui zake, huwaka ghadhabu juu ya adui zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mwenyezi Mungu ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; Mwenyezi Mungu hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. Mwenyezi Mungu hulipiza kisasi juu ya watesi wake, naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; bwana hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. bwana hulipiza kisasi juu ya watesi wake, naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake. Tazama sura |