Nahumu 1:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na sasa nitakuvunjia nira yake, nami nitayakata mafungo yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, nami nitazivunjilia mbali pingu zako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, nami nitazivunjilia mbali pingu zako.” Tazama sura |