Nahumu 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ametoka mmoja kwako, akusudiaye mabaya juu ya BWANA, atoaye mashauri yasiyofaa kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kwako kumetoka aliyepanga maovu dhidi ya Mwenyezi-Mungu aliyefanya njama za ulaghai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kwako kumetoka aliyepanga maovu dhidi ya Mwenyezi-Mungu aliyefanya njama za ulaghai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kwako kumetoka aliyepanga maovu dhidi ya Mwenyezi-Mungu aliyefanya njama za ulaghai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja, ambaye anapanga njama dhidi ya Mwenyezi Mungu na kushauri uovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja, ambaye anapanga shauri baya dhidi ya bwana na kushauri uovu. Tazama sura |