Mwanzo 9:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu, kwa maana damu ni uhai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai. Tazama sura |