Mwanzo 9:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Nuhu alipolevuka na kujua lile mwanawe mdogo alilomtendea, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Nuhu alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea, Tazama sura |