Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 9:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 tena na kila kiumbe hai kilichoko pamoja nanyi, ndege, na mnyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu katika nchi pamoja nanyi; wote wanaotoka katika safina, hata kila kilicho hai katika nchi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 na viumbe vyote hai: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wa porini, wote waliotoka katika safina pamoja nanyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 na viumbe vyote hai: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wa porini, wote waliotoka katika safina pamoja nanyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 na viumbe vyote hai: ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wa porini, wote waliotoka katika safina pamoja nanyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: ndege, mifugo, na wanyama pori wote, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi: kila kiumbe hai duniani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wote wa porini, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi, kila kiumbe hai duniani.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 9:10
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua;


kila mnyama, na kila kitambaacho, na kila ndege, kila kinachokwenda juu ya nchi kwa makabila yao, wakatoka katika safina.


Na agano langu nitalithibitisha nanyi; wala kila chenye mwili hakitafutwa tena kwa maji ya gharika; wala hakutakuwa tena gharika, baada ya hayo, kuiharibu nchi.


Tazama, nilithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu;


BWANA ni mwema kwa watu wote, Na rehema zake ziko juu ya vyote alivyoumba.


Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua BWANA.


na mimi, je! Haikunipasa kuuhurumia Ninawi, mji ule mkubwa; ambao ndani yake wamo watu zaidi ya elfu mia moja na ishirini, wasioweza kupambanua katika mkono wao wa kulia na mkono wao wa kushoto; tena wamo wanyama wa kufugwa wengi sana?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo