Mwanzo 9:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ndipo Mungu akawabariki Nuhu na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, mkaongezeke kwa idadi, na mkaijaze tena dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndipo Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akiwaambia, “Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia. Tazama sura |