Mwanzo 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kisha akatoa njiwa, aone kwamba maji yamepunguka usoni pa nchi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha Noa akamtoa njiwa apate kuona kama maji yalikuwa yamepungua juu ya nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha Noa akamtoa njiwa apate kuona kama maji yalikuwa yamepungua juu ya nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha Noa akamtoa njiwa apate kuona kama maji yalikuwa yamepungua juu ya nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kisha akamtoa hua ili aone kama maji yameondoka juu ya ardhi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kisha akamtoa hua ili aone kama maji yameondoka juu ya uso wa ardhi. Tazama sura |