Mwanzo 8:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 akatoa kunguru, naye akatoka akaenda huku na huko, hata maji yakakauka juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 akamtoa kunguru, naye akawa akiruka kwenda na kurudi hadi maji yalipokwisha kukauka juu ya dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 na akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi. Tazama sura |