Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 8:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Ikawa baada ya siku arubaini, Nuhu akalifungua dirisha la safina, alilolifanya;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Baada ya siku arubaini, Noa alifungua dirisha alilokuwa ametengeneza katika hiyo safina,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Baada ya siku arubaini, Noa alifungua dirisha alilokuwa ametengeneza katika hiyo safina,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Baada ya siku arubaini, Noa alifungua dirisha alilokuwa ametengeneza katika hiyo safina,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Baada ya siku arobaini, Nuhu akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Baada ya siku arobaini Nuhu akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina

Tazama sura Nakili




Mwanzo 8:6
4 Marejeleo ya Msalaba  

Uifanyie safina mwangaza, ukaumalize juu kiasi cha mkono mmoja; ukautie mlango wa safina katika ubavu wake; ukaifanyie dari tatu, ya chini, ya pili, na ya tatu.


Maji yakapungukapunguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.


akatoa kunguru, naye akatoka akaenda huku na huko, hata maji yakakauka juu ya nchi.


Hata Danieli, alipojua ya kuwa yale maandiko yamekwisha kutiwa sahihi, akaingia nyumbani mwake, (na madirisha katika chumba chake yalikuwa yamefunguliwa kuelekea Yerusalemu;) akapiga magoti mara tatu kila siku, akasali, akashukuru mbele za Mungu wake, kama alivyokuwa akifanya tokea hapo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo