Mwanzo 8:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 chemchemi za vilindi zikafungwa, pia na madirisha ya mbinguni, mvua kutoka mbinguni ikazuiliwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Chemchemi za vilindi zikawa zimefungwa, na malango ya mafuriko ya mbinguni pia yakawa yamefungwa; nayo mvua ikawa imekoma kunyesha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Zile chemchemi zilizo chini sana ya ardhi pamoja na malango ya mafuriko ya mbinguni yakawa yamefungwa nayo mvua ikawa imekoma kunyesha kutoka angani. Tazama sura |