Mwanzo 8:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Basi Nuhu akatoka, yeye, na wanawe, na mkewe, na wake za wanawe pamoja naye; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, Noa akatoka katika safina pamoja na wanawe na mkewe pamoja na wake za wanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, Noa akatoka katika safina pamoja na wanawe na mkewe pamoja na wake za wanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, Noa akatoka katika safina pamoja na wanawe na mkewe pamoja na wake za wanawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa hiyo Nuhu akatoka nje pamoja na mkewe, na wanawe na wake zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa hiyo Nuhu akatoka nje pamoja na mkewe, wanawe na wake zao. Tazama sura |