Mwanzo 7:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Nuhu akaingia katika safina, yeye, na wanawe, na mkewe, na wake za wanawe pamoja naye; kwa sababu ya maji ya gharika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Noa, mkewe, wanawe na wake zao wakaingia ndani ya safina ili kuiepa gharika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Noa, mkewe, wanawe na wake zao wakaingia ndani ya safina ili kuiepa gharika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Noa, mkewe, wanawe na wake zao wakaingia ndani ya safina ili kuiepa gharika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Nuhu na mkewe, na wanawe na wake zao, wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Nuhu na mkewe na wanawe na wake zao wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika. Tazama sura |