Mwanzo 7:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Naye Nuhu alikuwa mtu wa miaka mia sita hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Noa alikuwa na umri wa miaka 600 wakati gharika ilipotokea nchini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Noa alikuwa na umri wa miaka 600 wakati gharika ilipotokea nchini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Noa alikuwa na umri wa miaka 600 wakati gharika ilipotokea nchini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nuhu alikuwa na umri wa miaka mia sita gharika ilipokuja juu ya dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nuhu alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia. Tazama sura |